Mwenyekiti wa Chama cha Wafanyakazi TALGWU Mkoa wa Ruvuma Willy Lwambano azungumza na wanachama wa TALGWU wa Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo kuhusu uwajibikaji, utii, nidhamu kazini, Rushwa kazini na kanuni mbalimbali za kiutumishi wa umma.
Ziara hiyo imefanyika tarehe 10 Mei 2024 na kuzungumza na wanachama wa Hosptali ya Wilaya ya Namtumbo na kituo cha Afya Namtumbo.
AMINA PILLY
SONGEA MUNICIPAL COUNCIL
Anuani ya Posta: P O BOX 14, SONGEA
Simu ya Mezani: 025 2602970
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: info@songeamc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa