MKURUGENZI MANISPAA YA SONGEA, ANAWATANGAZIA WANANCHI WOTE KUWA, UUZAJI WA VIWANJA KWA AJILI YA UJENZI WA VIWANDA, MAKAZI NA BIASHARA UTAANZA KUTOLEWA KUANZIA TAREHE 26/10/2020 KWA BEI YA SHILINGI 2,000/= KWA MITA MOJA YA MRABA.
SONGEA MUNICIPAL COUNCIL
Anuani ya Posta: P O BOX 14, SONGEA
Simu ya Mezani: 025 2602970
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: info@songeamc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa