• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Songea Municipal Council
Songea Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Songea

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Maendeleo ya Jamii Jinsia na Watoto
      • Planning,Statistics and Monitoring
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu ya Msingi
      • Mazingira na Usafi
      • Maji
      • Afya
      • Elimu ya Sekondari
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Ujenzi
      • Fedha na Biashara
      • Arthi na Mipangomiji
    • Vitengo
      • Uchaguzi
      • Legal Services
      • Mawasiliano, Habari na Teknolojia
      • Ukaguzi wa ndani
      • Ugavi na Manunuzi
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma zetu
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi isiyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

TANGAZO - KODI YA ARDHI

Tarehe ya kuwekwa: March 12th, 2021

MKURUGENZI WA MANISPAA YA SONGEA ANAWATANGAZIA WAMILIKI WOTE WA VIWANJA NA MASHAMBA, YALIYOKO NDANI YA MANISPAA YA SONGEA, KUWA MUDA  WA KULIPA KODI YA PANGO LA ARDHI BILA ADHABU  UMEISHA TAREHE 31/12/2020 ,

HATUA KALI  ZA  KISHERIA ZIMEANZA  KUCHUKULIWA KWA KUWAFIKISHA  MAHAKAMANI  WALE WOTE WASIOLIPA KODI YA PANGO LA ARDHI.JUMLA  YA WADAIWA 147 WAMEFIKISHWA MAHAKAMANI AWAMU YA KWANZA KWA KOSA LA KUTOKULIPA KODI ARDHI KWA WAKATI.

ZOEZI HILI LA KUWAFIKISHA  MAHAKAMANI WADAIWA SUGU NI ENDELEVU KWA KILA WIKI,KWA WALE WOTE WASIOLIPA KODI YA PANGO LA ARDHI KWA WAKATI.

BAADA YA MAHAKAMA KUSIKILIZA   MASHAURI HAYO, HATUA KUNYANG’ANYWA, KUUZA KIWANJA/SHAMBA, AU KUSHIKA MALI YA MDAIWA ILI KUFIDIA DENI LA SERIKALI ZITACHUKULIWA.

PIA MNAKUMBUSHWA KUWA NI MAARUFUKU  KUFANYA  UJENZI WOWOTE  BILA KIBALI CHA UJENZI, HATUA ZA KISHERIA ZITACHUKULIWA DHIDI YAO, IKIWA NI PAMOJA NA KUTOZWA FAINI AU KUVUNJA KWA JENGO HUSIKA.

NA WALE WOTE WENYE VIBALI VYA UJENZI WAACHE NAKALA ZA VIBALI VYA UJENZI KWA MAFUNDI WANAOENDELEA NA UJENZI.

LIMETOLEWA NA

MKURUGENZI WA MANISPAA YA SONGEA

                                                          12.03.2021

Matangazo

  • TANGAZO LA LESENI ZA BIASHARA October 17, 2025
  • TANGAZO la usafi wa mazingira Jumamosi ya mwisho wa mwezi Oktoba 2025 October 18, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Dkt. Ndumbaro Aibuka Mshindi Ubunge Jimbo la Songea Mjini

    October 30, 2025
  • Rc Ruvuma Akabidhi Magari 4 Yenye Thamani ya Bil. 2.2 Kwa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Mkoani Ruvuma

    October 26, 2025
  • Washiriki 1,542 Wapata Mafunzo ya Usmamizi wa Vituo na Wasimamizi Wasaidizi wa Vituo.

    October 26, 2025
  • WASHIRIKI 542 WAPATA MAFUNZO YA MAKARANI WAONGOZAJI

    October 25, 2025
  • Tazama zote

Video

Dkt. Emmanuel Nchimbi Awasili Ruvuma Apokelewa kwa KIshindo
Video Zaidi

Viungio vya Haraka

  • Ruvuma Region Website
  • Songea diistrict websites
  • Madaba District Council Website
  • Tunduru District Website
  • Namtumbo District Website
  • Nyasa District Website
  • Mbinga Town Council Website
  • Mbinga District Council Website
  • Songea Municipal face book

Tovuti Mashuhuri

  • Wizara ya Fedha
  • TAMISEMI
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • National Bureau of Statistics
  • Baraza la Mitihani Tanzania

Idadi ya Wasomaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Mahali

Wasiliana nasi

    SONGEA MUNICIPAL COUNCIL

    Anuani ya Posta: P O BOX 14, SONGEA

    Simu ya Mezani: 025 2602970

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: info@songeamc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Falagha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Mahali
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa

  • Situs Toto
  • Situs Slot Gacor
  • AXL777
  • Situs Toto
  • AERO88
  • Situs Slot Gacor
  • DORA77
  • DORA77
  • DORA77
  • Toto Togel
  • Slot Gacor
  • AXL777
  • AERO88
  • Situs Slot
  • Situs Slot Gacor
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • DORA77
  • Situs Judi Online
  • SILVAWIN
  • AXL777
  • YAMITOTO
  • NABITOTO
  • YAMITOTO
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200