• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Songea Municipal Council
Songea Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Songea

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Maendeleo ya Jamii Jinsia na Watoto
      • Planning,Statistics and Monitoring
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu ya Msingi
      • Mazingira na Usafi
      • Maji
      • Afya
      • Elimu ya Sekondari
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Ujenzi
      • Fedha na Biashara
      • Arthi na Mipangomiji
    • Vitengo
      • Uchaguzi
      • Legal Services
      • Mawasiliano, Habari na Teknolojia
      • Ukaguzi wa ndani
      • Ugavi na Manunuzi
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma zetu
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi isiyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

TANGAZO LA KAZI YA UJENZI WA KITUO CHA AFYA LILAMBO

Tarehe ya kuwekwa: October 7th, 2021

KWA KUTUMIA MAFUNDI “LOCAL FUNDI”

LOTI NA 1. UJENZI WA JENGO LA UPASUAJI

LOTI NA 2. UJENZI WA WODI YA WAZAZI (MATERNITY)

LOTI NA 3. UJENZI WA JENGO LA WAGONJWA WA NJE (OPD)

LOTI NA 4. UJENZI WA JENGO LA MAABARA                                                         (LABARATORY)

LOTI NA 5. UJENZI WA KICHOMEA TAKATAKA (INCINERATOR) NA SHIMO LA KUTUPA MAKONDO YA

UZAZI (PLACENTA)

LOTI NA 6. UJENZI WA VYOO VYA WAGONJWA WA NJE

LOTI NA 7. UWEKAJI MFUMO WA UMEME MAJENGO MATANO (5)

LOTI NA 8. UWEKAJI MFUMO WA MAJI SAFI NA TAKA

 

  • MKURUGENZI WA MANISPAA YA SONGEA,  Anawajulisha wananchi wote kuwa atajenga  Kituo cha Afya Lilambo kwa fedha za mapato ya ndani ya Halmashauri ya Manispaa ya Songea.
  • MKURUGENZI WA MANISPAA YA SONGEA, anawaalika mafundi kutoka pande zote za Halmashauri ya Manispaa ya Songea wenye uzoefu wa ujenzi wa majengo ya Serikali, kutuma maombi kwa ajili ya ujenzi wa Kituo cha Afya Lilambo.
  • Waombaji wenye nia ya kufanya kazi hii ya ujenzi, wanaweza kupata maelezo zaidi katika ofisi ya MKURUGENZI WA MANISPAA YA SONGEA  kitengo cha Manunuzi kuanzia saa 1:30 Asubuhi hadi saa 9:30 Alasiri kwa siku za kazi tangu tarehe ya tangazo.
  • Nyaraka za maombi zinapatikana kwa MKURUGENZI WA MANISPAA YA SONGEA kitengo cha Manunuzi.
  • Maombi yote katika uhalisia wake (original) pamoja na nakala mbili zinazofanana, zilizotajwa kwa usahihi, kusainiwa kwa mkono yawekwe kwenye bahasha na kuandikwa Jina la jengo  linalofanyiwa ujenzi/ Loti na kuandikwa juu ya bahasha kwa anuani ifuatayo;

MKURUGENZI WA MANISPAA YA SONGEA, S.L.P 14, SONGEA.

Muombaji akikidhi vigezo, kamati itampatia kazi aliyoiomba.

  • Siku ya mwisho ya kuwasilisha maombi ni tarehe 11/10/2021 siku ya Jumatatu kabla ya saa tano kamili (5:00) asubuhi saa za Afrika Mashariki. Maombi yote yatarejeshwa kwenye ofisi ya Mkurugenzi wa Manispaa ya Songea ofisi ya Manunuzi kabla ya muda ulioainishwa hapo juu, Maombi yatafunguliwa hadharani mara tu baada ya muda wa mwisho wa kuwasilisha mbele ya wawakilishi wa waombaji watakaoamua kuhudhuria katika ufunguzi utakaofanyika kwenye ukumbi wa ofisi ya Kata-Lilambo.
  • Sifa za muombaji, anatakiwa ajue kusoma mahitaji ya kiufundi yaliyoainishwa katika mchoro na fomu ya makadirio ya ufundi, awe na vyeti vya mafunzo alivyosoma katika chuo chochote caha ufundi kinachotambulika, awe na uzoefu wa ujenzi wa majengo ya Serikali, akipata kazi atapaswa kufungua akaunti ya Benki kwa ajili ya malipo ya kibenki pamoja na Tin namba, awe na idadi ya mafundi wasaidizi wasiopungua watano (5) na vibarua wa kutosha (Vibarua watatoka eneo lolote ndani ya Manispaa ya Songea, vibarua waeneo husika watapewa kapaumbele endapo watakuwepo)
  • Maombi yote yanatakiwa yawasilishwe kwa MKURUGENZI WA MANISPAA YA SONGEA (ofisi ya Manunuzi)
  • Waombaji wote wanashauriwa kutembelea site wanayotarajia kujenga ujenzi ili kuona hali halisi (kwa gharama zao wenyewe)
  • Maombi yatakayochelewa, maombi yasiyokamilika, maombi ambayo hayatakuwepo siku ya ufunguzi hayatapokelewa na kuhusishwa na zoezi la uchambuzi wa kumpata fundi atakayefanya kazi ya ujenzi.
  • Form za maombi zitatolewa kwa gharama ya Tshs. 10,000./=
  • Malipo hayo yatalipiwa katika Ofisi Na 3.
  • Angalizo: Waombaji ni mafundi wa kawaida kutoka pande zote za Halmashauri ya Manispaa ya Songea na siyo kampuni za kikandarasi.

 

IMETOLEWA NA

MKURUGENZI WA MANISPAA YA SONGEA.

07.10.2021

Matangazo

  • TANGAZO LA LESENI ZA BIASHARA January 22, 2025
  • TANGAZO la usafi wa mazingira Jumamosi ya mwisho wa mwezi Septemba 2024 February 27, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • TAKUKURU Mkoa wa Ruvuma Yafanikiwa Kurejesha Mil. 9.2, na Kudhibiti Mianya ya Rushwa.

    May 30, 2025
  • TAKUKURU Ruvuma Yawezesha kupatikana fedha za makusanyo Songea Dc

    May 30, 2025
  • ALAT Ruvuma na Baraza la Madiwani la Chalinze Watembelea Manispaa ya Iringa Kujifunza Ukusanyaji wa Mapato.

    May 29, 2025
  • ISMAIL ALI MKIMBIZA MWENGE KITAIFA ARIDHISHWA NA UTEKELEZAJI WA MIRADI

    May 15, 2025
  • Tazama zote

Video

ALAT RUVUMA ZIARANI IRINGA TC
Video Zaidi

Viungio vya Haraka

  • Ruvuma Region Website
  • Songea diistrict websites
  • Madaba District Council Website
  • Tunduru District Website
  • Namtumbo District Website
  • Nyasa District Website
  • Mbinga Town Council Website
  • Mbinga District Council Website
  • Songea Municipal face book

Tovuti Mashuhuri

  • Wizara ya Fedha
  • TAMISEMI
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • National Bureau of Statistics
  • Baraza la Mitihani Tanzania

Idadi ya Wasomaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Mahali

Wasiliana nasi

    SONGEA MUNICIPAL COUNCIL

    Anuani ya Posta: P O BOX 14, SONGEA

    Simu ya Mezani: 025 2602970

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: info@songeamc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Falagha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Mahali
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa