KUITWA KWENYE USAILI
a) WASAIDIZI WA HESABU
b) WATEKNOLOJIA WASAIDIZI (DAWA)
Kufuatia tangazo la kazi (Mkataba) la wasaidizi wa Hesabu na Wateknolojia wasaidizi (Dawa) la tarehe 13/03/2021; Wafuatao hapa chini wamechaguliwa kuhudhuria Usaili (Interview) kama ifuatavyo:-
A: WASAIDIZI WA HESABU
Na |
JINA LA MWOMBAJI |
ANUANI |
1.
|
Zuhura Ismail Moyo
|
S.L.P 14 SONGEA
|
2.
|
Robert Crispin Hyera
|
S.L.P 14 SONGEA
|
3.
|
Castor Flowin Mdamu
|
S.L.P 14 SONGEA
|
4.
|
Goodluvk Francis Liboy
|
S.L.P 14 SONGEA
|
B: WATEKNOLOJIA WASAIDIZI (DAWA)
Na |
JINA LA MWOMBAJI |
ANUANI |
1.
|
Emmanuel H. Mgeyekwa
|
S.L.P 761 SONGEA
|
2.
|
Gastiano Kawaganise
|
S.L.P 15 SONGEA
|
3.
|
Ritha Dionis Mang’onesi
|
S.L.P 27 SONGEA
|
4.
|
Dina Bosco Nchimbi
|
S.L.P 80348 DSM
|
NB; Waliotajwa hapo juu wanatakiwa kuhudhuria usaili siku ya Jumamosi tarehe 12/06/2021 Ofisi za Halmashauri saa 03:00 (tatu) asubuhi, waombaji walioitwa waje na vyeti vyao halisi (Originals) vya elimu. Aidha, Halmashauri haitahusika na Gharama zozote kwa washiriki wa usaili huo.
Kny : MKURUGENZI WA MANISPAA
SONGEA.
07 June 2021
SONGEA MUNICIPAL COUNCIL
Anuani ya Posta: P O BOX 14, SONGEA
Simu ya Mezani: 025 2602970
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: info@songeamc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa