NAIBU Waziri wa Elimu,Sayansi na Teknolojia William Ole Nasha amesema Kuna upungufu wa walimu wa masomo ya Sayansi zaidi ya 15,000 na kwamba walimu wote wanaosomea masomo ya Hisabati,Sayansi na TEHAMA wataajiriwa.Waziri Nasha ametoa ahadi hiyo wakati anazungumza na walimu wanafunzi zaidi 650 wanaosomea masomo ya Sayansi katika Chuo cha Ualimu Songea.Waziri huyo alikuwa mkoani Ruvuma katika ziara ya siku mbili wilaya ya Songeawna Namtumbo ambayo imekamilika leo na kesho anaendelea na ziara katika wilaya ya Ludewa mkoani Njombe
SONGEA MUNICIPAL COUNCIL
Anuani ya Posta: P O BOX 14, SONGEA
Simu ya Mezani: 025 2602970
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: info@songeamc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa