CHANGAMOTO ya uharibifu wa mazingira katika maeneo mbalimbali nchini imekuwa inasababisha athari mbalimbali za uchafuzi na uharibifu wa mazingira hali ambayo imesababisha baadhi ya maeneo hapa nchini kuanza kuonja athari za uharibifu wa mazingira.Bonde la Songwe ni moja ya maeneo nchini ambayo wananchi wake wanapata madhara mbalimbali yanayotokana na uchafuzi na uharibifu wa mazingira.
SONGEA MUNICIPAL COUNCIL
Anuani ya Posta: P O BOX 14, SONGEA
Simu ya Mezani: 025 2602970
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: info@songeamc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa