Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Christina Mndeme amembeba mtoto siku ya uzinduzi wa kampeni ya chanjo ya kitaifa ngazi ya Mkoa wa Ruvuma kwa magonjwa ya surua-rubella na polio ,uzinduzi ambao ulifanyika katika kituo cha Afya Kata ya Mshangano.Kampeni hiyo inaanza Oktoba 17 hadi 25,2019.Kamoeni hii inawahusu watoto wenye umri chini ya miaka mitano ambapo katika Mkoa wa Ruvuma zaidi ya watoto 190,000 wamelengwa kupata chanjo.
SONGEA MUNICIPAL COUNCIL
Anuani ya Posta: P O BOX 14, SONGEA
Simu ya Mezani: 025 2602970
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: info@songeamc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa