TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI
UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA AWAMU YA PILI
AFISA MWANDIKISHAJI JIMBO LA SONGEA MJINI ANAWATANGAZIA WANANCHI WOTE WA HALMASHAURI YA MANISPAA SONGEA KUWA, UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA AWAMU YA PILI UTAFANYIKA KWA SIKU TATU KUANZIA TAREHE 02 HADI TAREHE 04 MEI, 2020. UBORESHAJI HUU UTAFANYIKA KATIKA KITUO KILICHOPANGWA KWENYE KILA KATA KATIKA HALMASHAURI (OFISI ZA KATA), VITUO VITAFUNGULIWA SAA 2.00 ASUBUHI NA KUFUNGWA SAA 12.00 JIONI.
UBORESHAJI AWAMU YA PILI UTAFANYIKA KWA KUZINGATIA TAHADHARI ZOTE ZA AFYA KUHUSU KUZUIA MAAMBUKIZI YA UGONJWA WA COVID- 19 UNAOSABABISHWA NA VINAVYOSABABISHWA NA VIRUSI VYA CORONA. UBORESHAJI HUTAHUSISHA:-
UTARATIBU WA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA
MUHIMU: KUMBUKA KUZINGATIA KANUNI ZA AFYA KWA KUFUATA MAELEKEZO UTAKAYOPEWA KITUONI ILI KUJIEPUSHA NA MAAMBUKIZI YA VIRUSI VYA CORONA.
KUMBUKA
SIFA MUHIMU YA KUKUWEZESHA KUPIGA KURA SIKU YA UCHAGUZI MKUU NI KUWA NA KADI YA MPIGA KURA
TANGAZO LIMETOLEWA NA
AFISA MWANDIKISHAJI
JIMBO LA SONGEA MJINI
SONGEA MUNICIPAL COUNCIL
Anuani ya Posta: P O BOX 14, SONGEA
Simu ya Mezani: 025 2602970
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: info@songeamc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa