MRADI wa ujenzi wa machinjio ya kisasa katika Kata ya Tanga Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma umefikia asilimia 95 na kwamba ujenzi huo unatarajia kukamilika kwa asilimia 100 ifikapo mwishoni mwa mwezi huu Januari.Machinjio hiyo inafadhiliwa na Benki ya Dunia kwa gharama ya shilingi bilioni 3.2.
SONGEA MUNICIPAL COUNCIL
Anuani ya Posta: P O BOX 14, SONGEA
Simu ya Mezani: 025 2602970
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: info@songeamc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa