MINARA miwili ya kanisa la Abasia ya Peramiho nje kidogo ya mji wa Songea mkoani Ruvuma,zimetengenezwa saa mbili kwa vipande vya vyuma. Saa hizo tangu zimefungwa mwaka 1948 hadi leo takriban miaka zaidi ya 70, saa hizo hazijawahi kupoteza majira,kusimama wala kurekebishwa.
Hiki ni moja ya vivuti adimu vya kihistoria katika wilaya ya Songea,.ni vema ukipata nafasi tembelea Abasia ya Peramiho ambayo imesheheni vivutio lukuki vya utalii. Peramiho ni mji unaofahamika zaidi nchini Ujerumani kuliko mji mwingine wowote hapa Tanzania.
SONGEA MUNICIPAL COUNCIL
Anuani ya Posta: P O BOX 14, SONGEA
Simu ya Mezani: 025 2602970
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: info@songeamc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa