Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Christina Mndeme anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika uzinduzi wa kampeni ya matumizi ya TTCL mkoani Ruvuma.Uzunduzi huo unatarajia kufanyika Juni 24,kwenye ukumbi wa sekondari ya wasichana mjini Songea.
SONGEA MUNICIPAL COUNCIL
Anuani ya Posta: P O BOX 14, SONGEA
Simu ya Mezani: 025 2602970
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: info@songeamc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa