UZINDUZI wa wiki ya wanawake duniani ambayo kilele chake ni Machi nane mwaka huu imezinduliwa na mgeni rasmi Meneja wa Benki ya posta Mkoani Ruvuma Albert Kombo ndani ya bustani ya Manispaa ya Songea mjini Songea.Kilele cha maadhimisho hayo katika Manispaa ya Songea kinatarajia kufanyika Namanditi Kata ya Ruhuwiko .
SONGEA MUNICIPAL COUNCIL
Anuani ya Posta: P O BOX 14, SONGEA
Simu ya Mezani: 025 2602970
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: info@songeamc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa