HAPA sio kilele cha Mlima Kilimanjaro bali ni kilele cha mlima Matogoro uliopo Manispaa ya Songea Mkoa wa Ruvuma wenye vivutio adimu vya utalii ambavyo bado havifahamiki na wengi.Mlima Matogoro ni chanzo mito mitatu ya Ruvuma,Luhira na Luegu. Kuna msitu mnene na eneo zuri la kufanyia picnic pamoja na vivutio lukuki ambavyo havipatikani sehemu nyingine Duniani.
SONGEA MUNICIPAL COUNCIL
Anuani ya Posta: P O BOX 14, SONGEA
Simu ya Mezani: 025 2602970
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: info@songeamc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa