Na,
AMINA PILLY,
AFISA HABARI MANISPAA.
27.12.2021
Halmashauri ya Manispaa ya Songea imefanya kikao na wadau kwa lengo la kupokea maoni mbalimbali kuhusiana na utekelezaji wa mradi wa kuboresha miundombinu na utendaji kazi ndani ya Halmashauri za miji (TACTIC).
Kikao hicho kimefanyikaleo tarehe 27 Desemba 2021 katika ukumbi wa Manispaa ya Songea ambacho kilihusisha viongozi pamoja na wataalamu kutoka ndani ya Manispaa ya Songea.
Akizungumza katika kikao hicho Senior Community Development Officer Hamisi Mkoma alisema kuwa lengo la kukusanya maoni kutoka kwa wadau mbalimbali ni kurahisisha utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa soko la Manzese pamoja na ujenzi wa barabara kiwango cha lami kuzunguka soko hilo unaotarajiwa kuanza mwezi Julai 2022.
Mwisho.
SONGEA MUNICIPAL COUNCIL
Anuani ya Posta: P O BOX 14, SONGEA
Simu ya Mezani: 025 2602970
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: info@songeamc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa