Mkuu wa wilaya ya Songea mkoani Ruvuma Pololet Mgema ameongoza kikao cha wadau wa mazingira katika Manispaa hiyo ambacho kimefanyika kwenye ukumbi wa Manispaa ya Songea .Kikao hicho kimehudhuriwa na Mstahiki Meya wa Manispaa ya Songea Alhaj Abdul Hassan Mshaweji,Mkurugenzi wa Manispaa ya Songea Tina Sekambo,watendaji wa mitaa 95 na watendaji wa kata zote 21 zilizopo katika Manispaa hiyo pamoja na wadau wengine ikiwemo Kamati ya Ulinzi na Usalama wilaya ya Songea.
SONGEA MUNICIPAL COUNCIL
Anuani ya Posta: P O BOX 14, SONGEA
Simu ya Mezani: 025 2602970
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: info@songeamc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa