KIKOA cha wadau wa mazingira wa Manispaa ya Songea kimefanyika kwenye ukumbi wa Manispaa ya Songea kimeibua changamoto za usafi wa mazingira na kupitisha mikakati na maazimio ya kukabiliana na changamoto za usafi wa mazingira.Mgeni rasmi katika kikao hicho alikuwa ni Mkuu wa Wilaya ya Songea Pololet Mgema.
SONGEA MUNICIPAL COUNCIL
Anuani ya Posta: P O BOX 14, SONGEA
Simu ya Mezani: 025 2602970
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: info@songeamc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa