MRADI wa Bustani ya Manispaa ya Songea ambao umefadhiliwa na Benki ya Dunia kwa shilingi milioni 399 umekamilika tangu mwaka 2018 ambapo hivi sasa wakazi wa mji wa Songea na Mkoa wa Ruvuma wameanza kunufaika.Baadhi ya wananchi wamepata ajira,watoto wana burudika katika bembea pia wananchi wamepata mahali pa kupumzika na kupata chakula.
SONGEA MUNICIPAL COUNCIL
Anuani ya Posta: P O BOX 14, SONGEA
Simu ya Mezani: 025 2602970
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: info@songeamc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa