• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Songea Municipal Council
Songea Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Songea

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Maendeleo ya Jamii Jinsia na Watoto
      • Planning,Statistics and Monitoring
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu ya Msingi
      • Mazingira na Usafi
      • Maji
      • Afya
      • Elimu ya Sekondari
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Ujenzi
      • Fedha na Biashara
      • Arthi na Mipangomiji
    • Vitengo
      • Uchaguzi
      • Legal Services
      • Mawasiliano, Habari na Teknolojia
      • Ukaguzi wa ndani
      • Ugavi na Manunuzi
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma zetu
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi isiyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

WALIMU toka Marekani wajitolea kufundisha masomo ya Sayansi na Hisabati nchini

Tarehe ya kuwekwa: September 27th, 2018

SERIKALI imewataka wananchi kuwapokea na kuwapa ushirikiano walimu wa kujitolea kutoka katika Shirika la Huduma za kujitolea la Marekani la Peace Corps, ambao watakuwepo nchini kwa muda miaka miwili.

Naibu waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, William Ole Nasha ameyasema hayo wakati wa shughuli ya kuwaapisha walimu 59 wa masomo Sayansi, Hisabati na Kiingereza kutoka nchini Marekani yalifanyika katika ukumbi wa chuo cha uwalimu  wilayani Korogwe Mkoani Tanga.

Amesema walimu hao watakwenda katika wilaya 59 za mikoa tofauti nchini kwenye shule za sekondari.

“Wananchi mkawape ushirikiano walimu hawa ambao watakuwepo hapa nchini kwa miaka miwili wakitoa huduma ya kufundisha watoto wetu katika shule zetu za sekondari huduma hiyo wameapa hapa kwamba wataifanya bure kabisa,” amesema Ole Nasha.

Awali akisoma hotuba kwa mgeni rasmi, Mkufunzi wa lugha ya kiswahili ambaye alikuwa akiwafundisha walimu hao amesema wamekuwa na walimu hao kwa muda wa wiki tisa wakiwafundisha kuzungumza kiswahili pamoja na namna ya kuishi maisha halisi ya mtanzania.

“Tumeishi nao vizuri katika muda wa wiki tisa ambapo mbali na kuwafundisha lugha yetu lakini pia tumewafundisha maisha halisi ya Mtanzania kama vile kupika kwa kutumia kuni, kufua nguo kwa mikono na shughuli mbalimbali wameelewa na tunahakika watakwenda kuishi vizuri.” amesema mkufunzi huyo.

Kwa upande wao walimu hao wamesema kuelimisha jamii kunahitaji sera nzuri, serikali, pamoja na jamii iliyo tayari.

Walimu hao wanatarajia kuondoka kesho kuelekea katika vituo vyao vya kazi walivyopangiwa katika wilaya tofauti za mikoa ya Tanzania.

CHANZO NI MTANZANIA

Matangazo

  • TANGAZO LA LESENI ZA BIASHARA January 22, 2025
  • TANGAZO la usafi wa mazingira Jumamosi ya mwisho wa mwezi Septemba 2024 February 27, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • TAKUKURU Mkoa wa Ruvuma Yafanikiwa Kurejesha Mil. 9.2, na Kudhibiti Mianya ya Rushwa.

    May 30, 2025
  • TAKUKURU Ruvuma Yawezesha kupatikana fedha za makusanyo Songea Dc

    May 30, 2025
  • ALAT Ruvuma na Baraza la Madiwani la Chalinze Watembelea Manispaa ya Iringa Kujifunza Ukusanyaji wa Mapato.

    May 29, 2025
  • ISMAIL ALI MKIMBIZA MWENGE KITAIFA ARIDHISHWA NA UTEKELEZAJI WA MIRADI

    May 15, 2025
  • Tazama zote

Video

ALAT RUVUMA ZIARANI IRINGA TC
Video Zaidi

Viungio vya Haraka

  • Ruvuma Region Website
  • Songea diistrict websites
  • Madaba District Council Website
  • Tunduru District Website
  • Namtumbo District Website
  • Nyasa District Website
  • Mbinga Town Council Website
  • Mbinga District Council Website
  • Songea Municipal face book

Tovuti Mashuhuri

  • Wizara ya Fedha
  • TAMISEMI
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • National Bureau of Statistics
  • Baraza la Mitihani Tanzania

Idadi ya Wasomaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Mahali

Wasiliana nasi

    SONGEA MUNICIPAL COUNCIL

    Anuani ya Posta: P O BOX 14, SONGEA

    Simu ya Mezani: 025 2602970

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: info@songeamc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Falagha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Mahali
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa