WATU 136 wathibitishwa kufa hadi sasa ajali ya MV.Nyerere
Tarehe ya kuwekwa: September 21st, 2018
WATU 86 hadi sasa ndiyo ambao wamethibitishwa kufa katika ajali ya MV.Nyerere ndani ya ziwa Viktoria mkoani Mwanza. Watu 37 waliokolewa hiyo jana wakiwa hali mbaya kwa mujibu wa mkuu wa mkoa wa Mwanza John Mongela, ambaye amezungumza na vyombo vya habari leo asubuni.