NAIBU Waziri wa Viwanda na Biashara Mhandisi Stella Manyanya ameitembelea shule ya sekondari ya Mtakatifu Paulo iliyopo Liuli wilayani Nyasa pamoja na mambo mengine Mhandisi Manyaya amesikitishwa na wanafunzi zaidi ya 90 kupata daraja la sifuri katika shule hiyo.yenye kidato cha kwanza hadi cha sita.Amesema serikali imetoa zaidi ya shilingi milioni 90 kusaidia ujenzi wa hosteli.
SONGEA MUNICIPAL COUNCIL
Anuani ya Posta: P O BOX 14, SONGEA
Simu ya Mezani: 025 2602970
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: info@songeamc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa