WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais,Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Kapt.Mstaafu George Mkuchika ameanza ziara ya kikazi mkoani Ruvuma.Kulingana na ratiba hiyo,Oktoba 7 Waziri Mkuchika atakuwa Wilaya ya Tunduru,,Oktoba 8,2019 atakuwa wilayani Namtumbo,Oktoba 9,2019 atakuwa wilayani Songea ,Oktoba 10,2019 atakuwa wilayani Mbinga na anatarajia kukamilisha ziara yake wilayani Nyasa Oktoba 11,2019.
SONGEA MUNICIPAL COUNCIL
Anuani ya Posta: P O BOX 14, SONGEA
Simu ya Mezani: 025 2602970
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: info@songeamc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa