WAZIRI Mkuu Tanzania Kassim Majaliwa akizungumza na baadhi ya wawekezaji baada ya kukagua mabanda ya maonesho katika uwanja wa Majimaji mjini Songea mkoani Ruvuma.Maonesho ya uwekezaji katika Mkoa wa Ruvuma yamefanyika kwenye uwanja huo na kushirikisha wadau mbalimbali kutoka ndani na nje ya nchi,wakiwemo mabalozi,mawaziri na wafanyabiashara.
SONGEA MUNICIPAL COUNCIL
Anuani ya Posta: P O BOX 14, SONGEA
Simu ya Mezani: 025 2602970
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: info@songeamc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa