MAELFU ya wakazi wa Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma walijitokeza kwa wingi katika uwanja wa majimaji mjini Songea ii kumsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Magufuli ambaye yupo mkoani Ruvuma kwa ziara ya kikazi ya siku tano kuanzia Aprili 4 hadi 9 mwaka huu.
SONGEA MUNICIPAL COUNCIL
Anuani ya Posta: P O BOX 14, SONGEA
Simu ya Mezani: 025 2602970
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: info@songeamc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa