Waziri wa Katiba na Sheria Dkt. Damas Ndumbaro (MB) ameishukuru Serikali kwa kuleta fedha nyingi kwa ajili ya kutekeleza miradi ya maendeleo Mkoani Ruvuma hususani jimbo la Songea Mjini.
Dkt.Ndumbaro amesema hayo wakati akizungumza na viongozi wa chama cha Mapinduzi ngazi ya kata, Wilaya na Mkoa kwa lengo la kuwashukuru kwa kusimamia vizuri uchaguzi wa Serikali za Mitaa.
Kikao hicho kilifanyika tarehe 24 desemba 2024 katika ukumbi wa shule ya wasichana Songea.
IMEANDALIWA NA;
AMINA PILLY;
KITENGO CHA MAWASILIANO SERIKALINI.
SONGEA MUNICIPAL COUNCIL
Anuani ya Posta: P O BOX 14, SONGEA
Simu ya Mezani: 025 2602970
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: info@songeamc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa