Mstahiki Meya Mnaispaa ya Songea Michael Mbano amewataka Wataalamu kuhakikisha wanakamilisha ujenzi wa miradi mbalimbali ya maendeleo kabla ya tarehe 30 Juni 2023.
Agizo hilo limetolewa leo kwenye kikao kazi cha Madiwani pamoja na watendaji wa kata kuelekea siku ya Baraza la Madiwani ambalo linatajarajia kufanyika tarehe 19 Mei 2023 saa tatu asubuhi katika ukumbi wa Manispaa ya Songea.
Wananchi wote mnakaribishwa.
IMEANDALIWA NA;
AMINA PILLY;
KITENGO CHA MAWASILIANO SERIKALINI,
SONGEA MUNICIPAL COUNCIL
Anuani ya Posta: P O BOX 14, SONGEA
Simu ya Mezani: 025 2602970
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: info@songeamc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa