Mstahiki Meya Manispaa ya Songea ameongoza baraza Maalumu la madiwani lililofanyika tarehe 24 Agosti 2023 kwa lengo la kumchagua na kumpitisha Naibu Meya Manispaa ya Songea ambaye huongoza na kuchaguliwa kila baada ya mwaka, pamoja na uteuzi wa kamati za kudumu za Halmashauri.
Aidha baada ya uchaguzi huo, mgombea wa kiti cha Naibu Meya ambaye alkuwa Jeremia Mlembe alipita bila kupingwa na hatimaye kutangazwa kwa Naibu Meya ikiwa ni awamu ya tatu mfululizo kutumikia nafasi hiyo.
Ieandaliwa na .
AMINA PILLY
KITENGO CHA MAWASILIANO SERIKALINI.
SONGEA MUNICIPAL COUNCIL
Anuani ya Posta: P O BOX 14, SONGEA
Simu ya Mezani: 025 2602970
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: info@songeamc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa