MKUTANO wa Baraza la madiwani katika Halmashauri ya Manispaa ya Songea umefanyika hivi karibuni kwenye ukumbi wa Manispaa hiyo na kuongozwa na Mwenyekiti ambaye ni Mstahiki Meya Alhaj Abdul Hassan Mshaweji na Katibu Kaimu Mkurugenzi wa Manispaa ya Songea Philipo Beno.
SONGEA MUNICIPAL COUNCIL
Anuani ya Posta: P O BOX 14, SONGEA
Simu ya Mezani: 025 2602970
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: info@songeamc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa