Picha mbalimbali za matukio ya mkutano wa baraza la madiwani liliofanyika leo tarehe 29 januari 2026 ambalo limeongozwa na mstahiki Meya Abrahamu Mbunda.
Baraza hilo limehudhuriwa na wananchi, waheshimiwa madiwani pamoja na wakuu wa idara na vitengo ikiwa ni baraza la kwanza lakawaida ambalo limefanyika katika ukumbi wa manispaa ya Songea.
Akizungumza Mstahiki Meya Abrahamu Mbunda amesema Lengo la Halmashauri hiyo ni kuongeza vyanzo vipya vya mapato ikiwemo kusimamia ujenzi wa masoko mawili Manzese Ana B ili kukusanya mapato ya kutosha kuelekea kuwa jiji.
SONGEA MUNICIPAL COUNCIL
Anuani ya Posta: P O BOX 14, SONGEA
Simu ya Mezani: 025 2602970
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: info@songeamc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa