Mstahiki Meya Manispaa ya Songea Mhe. Michael Mbano amezungumza na waandishi wa habari leo tarehe 23 Novemba, kwa dhumuni ya kutoa taarifa kwa wananchi kuhusu utekelezaji wa shughuli za maenfdeleo
Aidha katika kikao hicho alibainisha kuwa katika kipindi cha mwaka wa fedha 2024/2025 Manispaa ya Songea iliidhinisha kukusanya na kutumia bil. 10954,358,083.00 kwa ajili ya utekelezaji wa shughuli za maendeleo.
Awali kabla ya kikao hicho waandishi wa habari walianza kutembelea miradi ya maendeleo na kisha kushiriki Mkutano wa Waandishi wa Habari ambao ulilenga kuzungumza na vyombo vya habari kuhusu shughuli za miradi ya maencdeleo na uchaguzi wa Serikali za Mitaa ambapo ilibainishwa kuwa kutakuwa na vituo vya wapiga kura 210.
AMINA PILLY,
KITENGO CHA MAWASILIANO SERIKALINI
SONGEA MUNICIPAL COUNCIL
Anuani ya Posta: P O BOX 14, SONGEA
Simu ya Mezani: 025 2602970
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: info@songeamc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa