• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Songea Municipal Council
Songea Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Songea

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Maendeleo ya Jamii Jinsia na Watoto
      • Planning,Statistics and Monitoring
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu ya Msingi
      • Mazingira na Usafi
      • Maji
      • Afya
      • Elimu ya Sekondari
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Ujenzi
      • Fedha na Biashara
      • Arthi na Mipangomiji
    • Vitengo
      • Uchaguzi
      • Legal Services
      • Mawasiliano, Habari na Teknolojia
      • Ukaguzi wa ndani
      • Ugavi na Manunuzi
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma zetu
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi isiyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

ZIARA YA DKT. NDUMBARO (MB), YAJAAA SHANGWE KWA WANANCHI BAADA YA KUWASILISHA KERO ZAO.

Tarehe ya kuwekwa: July 18th, 2024

Waziri wa Utamaduni Sanaa na Michezo na Mbunge wa Jimbo la Songea Mjini Dkt. Damas Ndumbaro amefanya ziara ya kiserikali  katika Jimbo la Songea Mjini kuanzia tarehe 09 Julai 2024 na kuhitimisha tarehe 17 Julai 2024 iliyofanyika kata kwa kata kwa lengo la kupokea Kero mbalimbali za Wananchi.

Katika ziara hiyo Dkt. Ndumbaro aliambatana na Wataalamu mbalimbali kutoka Sekta ya Elimu, Afya, Mipango miji, Uchumi, Kilimo, Tasaf, TARURA, TANROAD, SOUWASA, viongozi wa vyama vya Siasa, na Waheshimiwa Madiwani ambapo amefanikiwa kukamilisha  kutembelea kata zote 21 za jimbo la Songea Mjini.

Miongoni mwa kero nyingi ambazo zimekuwa zikijitokeza kwenye kata hizo ni pamoja na changamoto ya miundombinu ya Barabara, Vivuko na mifereji, ukamilishaji wa miundominu ya ofisi za Serikali za mita, miundombinu ya Elimu Msingi, Umeme, na  Maji,

 Wakitoa majibu kupitia wataalamu walioshiriki ziara hiyo ambapo walisema miongoni mwa kero za miundombinu iliyotajwa imetengewa bajeti katika kipindi cha mwaka wa fedha wa 2024/2025 ili kupunguza au kuondoa kabisa changamoto hizo

Akihitimisha ziara hiyo katika kata ya Subira ambapo amewataka wananchi wa Manispaa ya Songea kuendelea kuwa na subira wakati Serikali ikiendelea kutatua changamoto za Wananchi.

IMEANDALIWA NA;        

AMINA PILLY;

KITENGO CHA MAWASILIANO SERIKALINI. 






Matangazo

  • TANGAZO LA LESENI ZA BIASHARA January 22, 2025
  • TANGAZO la usafi wa mazingira Jumamosi ya mwisho wa mwezi Septemba 2024 February 27, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • TAKUKURU Mkoa wa Ruvuma Yafanikiwa Kurejesha Mil. 9.2, na Kudhibiti Mianya ya Rushwa.

    May 30, 2025
  • TAKUKURU Ruvuma Yawezesha kupatikana fedha za makusanyo Songea Dc

    May 30, 2025
  • ALAT Ruvuma na Baraza la Madiwani la Chalinze Watembelea Manispaa ya Iringa Kujifunza Ukusanyaji wa Mapato.

    May 29, 2025
  • ISMAIL ALI MKIMBIZA MWENGE KITAIFA ARIDHISHWA NA UTEKELEZAJI WA MIRADI

    May 15, 2025
  • Tazama zote

Video

ALAT RUVUMA ZIARANI IRINGA TC
Video Zaidi

Viungio vya Haraka

  • Ruvuma Region Website
  • Songea diistrict websites
  • Madaba District Council Website
  • Tunduru District Website
  • Namtumbo District Website
  • Nyasa District Website
  • Mbinga Town Council Website
  • Mbinga District Council Website
  • Songea Municipal face book

Tovuti Mashuhuri

  • Wizara ya Fedha
  • TAMISEMI
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • National Bureau of Statistics
  • Baraza la Mitihani Tanzania

Idadi ya Wasomaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Mahali

Wasiliana nasi

    SONGEA MUNICIPAL COUNCIL

    Anuani ya Posta: P O BOX 14, SONGEA

    Simu ya Mezani: 025 2602970

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: info@songeamc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Falagha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Mahali
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa