• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Songea Municipal Council
Songea Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Songea

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Maendeleo ya Jamii Jinsia na Watoto
      • Planning,Statistics and Monitoring
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu ya Msingi
      • Mazingira na Usafi
      • Maji
      • Afya
      • Elimu ya Sekondari
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Ujenzi
      • Fedha na Biashara
      • Arthi na Mipangomiji
    • Vitengo
      • Uchaguzi
      • Legal Services
      • Mawasiliano, Habari na Teknolojia
      • Ukaguzi wa ndani
      • Ugavi na Manunuzi
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma zetu
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi isiyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

YALIYOJIRI ZIARA YA RAIS WA SHIRIKISHO LA JAMHURI YA UJERUMANI

Tarehe ya kuwekwa: November 1st, 2023

Rais wa Shirikisho la Jamhuri ya Ujerumani Dkt. Frank Walter Steinmeier amewataka  Watanzania wote kuendelea kufanya kazi kwa pamoja na kudumisha ushirikiano na uhusiano baina ya nchi mbili kati ya Ujerumani na Nchi ya Tanzania.

Kauli imetolewa  katika viwanja vya makumbusho ya Taifa ya kumbukumbu ya vita vya Majimaji  iliyofanyika leo tarehe 01 Novemba 2023 kwa lengo la kukumbuka historia ya Tanzania na Ujerumani yenye taswira mbili ambayo iliwafanya Watanazia wateseke.

Dkt. Frank amesema nanukuu, Ameguswa sana na historia ya familia Nduna Songea Mbano  ambayo imetolewa na kupitia taarifa hiyo imewezesha kupata ufahamu wa jambo  la kinyama ambalo lilifanywa na Majeshi ya Wajerumani  ambalo ni la kusikitisha na hatimaye ameweza kufika mji wa Songea  na kupata historia ya babu zenu. Mwisho wa nukuu.

Alisema amejifunza mambo mengi ikiwemo na Shujaa wa Kingoni ambaye alitawala kwa Mila za kingoni pia  alikuwa kiongozi shujaa wa vita vya Majimaji  ambaye alitawala   kwa ushujaa sana ambapo alihaidi kuwa upande wao ili waweze kutawala na baada ya kupinga majeshi ya wajermani  walinyongwa na kuzikwa katika  kaburi moja lenye watu 69.

Aidha, Watanzania watakumbuka kuwa mabaki ya wanadamu yaliweza kusafirishwa na kupelewka ujerumani hata hivyo amewahakikishia  kuwa kichwa cha Nduna Mbano watajitahidi kutafuta japokuwa ni vigumu kufahamu mabaki ya mwili wa binadamu.

Hata hivyo, aliomba Msamaha kwa yaliyotokea  pamoja na familia ya Mbano kwa yale yote yaliyofanywa na majeshi ya Ujermani huku akiiniamisha kichwa chini kwa ajili ya Kuomboleza pia akisisitiza kuendelea kuwepo kwa Mahusiano kati ya Mji wa Songea na Ujermani pamoja na shule ya Msingi Majimaji ambayo ina jina la  kumbukumbu wa mashujaa wa vita vya Majimaji.  

Kwa upande wake Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Damas Ndumbaro (MB) amesema lengo kuu ni kukumbuka historia ya Tanzania na Ujermani, amayo ilitokana na kumalizika kwa vita vya majimaji tarehe 27 februali ya mwaka 1905 pamoja kuleta mahusiano mazuri baina ya Tanzania na Ujermani na kufuta historia mbaya ya awali ya Ujermani.

IMEANDALIWA NA;

AMINA PILLY;

KITENGO CHA MAWASILIANO SERIKALINI SONGEA.

 

Matangazo

  • TANGAZO LA LESENI ZA BIASHARA January 22, 2025
  • TANGAZO la usafi wa mazingira Jumamosi ya mwisho wa mwezi Septemba 2024 February 27, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • TAKUKURU Mkoa wa Ruvuma Yafanikiwa Kurejesha Mil. 9.2, na Kudhibiti Mianya ya Rushwa.

    May 30, 2025
  • TAKUKURU Ruvuma Yawezesha kupatikana fedha za makusanyo Songea Dc

    May 30, 2025
  • ALAT Ruvuma na Baraza la Madiwani la Chalinze Watembelea Manispaa ya Iringa Kujifunza Ukusanyaji wa Mapato.

    May 29, 2025
  • ISMAIL ALI MKIMBIZA MWENGE KITAIFA ARIDHISHWA NA UTEKELEZAJI WA MIRADI

    May 15, 2025
  • Tazama zote

Video

ALAT RUVUMA ZIARANI IRINGA TC
Video Zaidi

Viungio vya Haraka

  • Ruvuma Region Website
  • Songea diistrict websites
  • Madaba District Council Website
  • Tunduru District Website
  • Namtumbo District Website
  • Nyasa District Website
  • Mbinga Town Council Website
  • Mbinga District Council Website
  • Songea Municipal face book

Tovuti Mashuhuri

  • Wizara ya Fedha
  • TAMISEMI
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • National Bureau of Statistics
  • Baraza la Mitihani Tanzania

Idadi ya Wasomaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Mahali

Wasiliana nasi

    SONGEA MUNICIPAL COUNCIL

    Anuani ya Posta: P O BOX 14, SONGEA

    Simu ya Mezani: 025 2602970

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: info@songeamc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Falagha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Mahali
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa