Waziri wa katiba na sheria Dkt. Damasi Ndumbaro leo tarehe 23 Agost 2023 amefanya ziara ya kutembelea kata ya Lilambo na kata ya Ruvuma kwa lengo la kukagua miradi ya maendeleo inayoendelea kutekelezwa pamoja na kuongea na wananchi wa kata hizo.
SONGEA MUNICIPAL COUNCIL
Anuani ya Posta: P O BOX 14, SONGEA
Simu ya Mezani: 025 2602970
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: info@songeamc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa