MKUU wa Mkoa wa Ruvuma Christina Mndeme amefanya ziara ya kukagua miradi mikubwa inayotekelezwa katika Halmashauri ya Manispaa ya Songea na kuzungumza na wananchi katika Kata ya Ruvuma.Miradi ambayo ameikagua ni mradi wa ujenzi wa stendi mpya ya kisasa ya mabasi na mradi wa machinjio ya kisasa ,miradi yote ikiwa katika kata ya Tanga,Mradi wa ukarabati wa barabara za lami katika Manispaa ya Songea na mradi wa ujenzi wa Kituo cha Afya kata ya Ruvuma.
SONGEA MUNICIPAL COUNCIL
Anuani ya Posta: P O BOX 14, SONGEA
Simu ya Mezani: 025 2602970
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: info@songeamc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa