Tarehe ya kuwekwa: March 27th, 2025
Kamati ya fedha na uongozi Manispaa ya Songea ikiongozwa na Mstahiki Meya leo tarehe 27 Machi 2025 wamefanya ziara ya kutembelea na kufanya ukaguzi wa miradi ya maendeleo katika kata ya Ruhuwiko...
Tarehe ya kuwekwa: March 22nd, 2025
Mstahiki Meya Manispaa ya Songea Michael Mbano, ameishukuru Serikali ya awamu ya sita chini ya uongozi wa Dkt. Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kwa kuleta fedha zaidi ya Bi...
Tarehe ya kuwekwa: March 18th, 2025
Mstahiki Manispaa ya Songea Michael Mbano, akabidhi mahitaji ya FUTARI kwa viongozi wa BAKWATA Wilaya ya Songea kwa lengo la kuwafariji watu wenye mahitaji maalumu wa dhehebu la Kiislamu k...