Tarehe ya kuwekwa: February 5th, 2021
Kampuni ya Mohamed Gulam Dewji “MO” Enterprise tawi la Songea Mjini imetoa msaada wa chakula kwenye vituo vya kulelea watoto yatima kwa lengo la kuunga mkono jitihada za ...
Tarehe ya kuwekwa: February 1st, 2021
Ni wajibu wetu kutambua juhudi za walimu wetu ikiwa pamoja na kupata haki zao za msingi, “ kwahiyo walichokifanya ni wajibu wao.” Hongereni walimu wa Manispaa ya Songea.
Po...
Tarehe ya kuwekwa: January 29th, 2021
Fedha zote zitokanazo na mauzo ya maji zikaguliwe na Mkaguzi wa ndani wa Halmashauri husika ili kujiridhisha na matumizi ya fedha za wananchi.
Agizo hilo limetolewa na Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma ...