Tarehe ya kuwekwa: August 8th, 2020
Hali ya udumavu katika Mikoa ya kanda za nyanda za juu kusini ni wastani wa 42.9 ambapo alisema kiwango hicho kipo juu ya wastani wa Taifa ambao ni 31.8 licha ya kuwa na uzalishaji mzuri wa chakula na...
Tarehe ya kuwekwa: August 5th, 2020
Mkoa wa Ruvuma ni miongoni mwa Mikoa saba inayozalisha mazao ya chakula na biashara kwa wingi nchini Tanzania, ambapo kwa mwaka 2019 Mkoa wa Ruvuma uliongoza kwa mazao mengi ya chakula kwa...
Tarehe ya kuwekwa: July 16th, 2020
Taasisi ya Kuzuwia na Kupambana na Rushwa Mkoani Ruvuma imewataka Wananchi kutoa ushirikiano katika kudhibiti vitendo vya rushwa katika kipindi cha Uchaguzi Mkuu unaotarajia kufanyika Oktoba 2020.
...