Tarehe ya kuwekwa: August 11th, 2020
Kauli hiyo imetolewa na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya makazi Mh. William Lukuvi katika uzinduzi wa Ofisi ya Ardhi Mkoa wa Ruvuma na mpango kabambe wa Manispaa ya Songea iliyofanyika ka...
Tarehe ya kuwekwa: August 8th, 2020
Hali ya udumavu katika Mikoa ya kanda za nyanda za juu kusini ni wastani wa 42.9 ambapo alisema kiwango hicho kipo juu ya wastani wa Taifa ambao ni 31.8 licha ya kuwa na uzalishaji mzuri wa chakula na...
Tarehe ya kuwekwa: August 5th, 2020
Mkoa wa Ruvuma ni miongoni mwa Mikoa saba inayozalisha mazao ya chakula na biashara kwa wingi nchini Tanzania, ambapo kwa mwaka 2019 Mkoa wa Ruvuma uliongoza kwa mazao mengi ya chakula kwa...