Tarehe ya kuwekwa: January 25th, 2020
MANISPAA YA SONGEA YA YAPITISHA BAJETI YA ZAIDI YA BILIONI 50
MADIWANI wa Halmashauri ya Manispaa ya Songea wamepitisha makadirio ya bajeti ya zaidi ya shilingi bilioni 50 katika mwaka wa fedha wa ...
Tarehe ya kuwekwa: January 24th, 2020
Manispaa ya Songea yapanda miche ya miti 6200
HALMASHAURI ya Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma imeadhimisha siku ya upandaji miti kitaifa Januari 24 kwa kupanda miche ya miti 6200 katika chanzo cha ...