Tarehe ya kuwekwa: February 28th, 2020
MKUU wa wilaya ya Songea Pololet Mgema ametoa siku 30 kwa watendaji wa Halmashauri za Madaba,Songea Manispaa na Halmashauri ya wilaya ya Songea kutatua changamoto za madawati katika Halmashauri ...
Tarehe ya kuwekwa: February 26th, 2020
Ni katika Kongamano lililofanyika Jana 25/02/2020 katika ukumbi wa Halmashauri ya Manispaa ya Songea
Mgeni Rasmi wa Kongamano la Tamasha ya Kumbukizi ya Vita vya MajiMaji ni Dr Willy Migodela...
Tarehe ya kuwekwa: February 21st, 2020
Hayo yamebainika jana tarehe 20/02/2020 katika kikao cha Baraza la madiwani manispaa ya Songea kilichofanyika katika ukumbi wa Halmashauri ya Manispaa ya Songea.
Baraza hilo, likiongozwa na Mstahik...