Tarehe ya kuwekwa: January 23rd, 2024
Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas amepokea vifaa vyenye thamani ya Mil. 100.9 kutoka kwa wadau wa Benki ya NMB vifaa ambavyo vitasaidia kupunguza changamoto ya upungufu wa madawati kwenye shu...
Tarehe ya kuwekwa: January 20th, 2024
Wilaya ya Songea ikiongozwa na Mkuu wa Wilaya ya Songea Mhe. Kapenjama Ndile wamefanya kikao cha kamati ya Ushauri ya Wilaya ya Songea ambacho kimefanyika tarehe 19 Januari 2024 kwa lengo la kuf...
Tarehe ya kuwekwa: January 16th, 2024
Mkuu wa Wilaya ya Songea Kapenjama Ndile amewataka Maafisa Watendaji Kata, Mitaa, Waratibu Elimu Kata, na Wakuu wa shule za Msingi na Sekondari kutoa ushiririkiano wa kutosha katika kuhakikisha wanafu...