Tarehe ya kuwekwa: June 26th, 2024
Mkurugenzi Manispaa ya Songea Wakili. Bashiri Muhoja amefanya ziara na kuongea na Wananchi wa kata ya Mshangano iliyofanyika leo tarehe 26 Juni 2024 kwa lengo la kupokea na kusikiliza kero za wananchi...
Tarehe ya kuwekwa: June 16th, 2024
Kifungu cha 10 (1) (C ) cha sheria ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi Na. 2 ya mwaka 2024 ambacho kinaelekeza kwamba Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi itasimamia Uchaguzi wa Serikakali za Mitaa kwa kutum...
Tarehe ya kuwekwa: June 15th, 2024
MWENGE wa Uhuru 2024 ukiwa Halmashauri ya Manispaa ya Songea umepita katika tarafa 2, kata 13, Mitaa 39 na umekimbizwa umbali wa KM 98.2 ambapo umepita katika mirad...