Tarehe ya kuwekwa: August 5th, 2019
MADIWANI wa Manispaa ya Lichinga nchini Msumbiji mwezi huu wanatarajia kufanya ziara ya mafunzo ya siku sita katika Halmashauri ya Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma.
Kulingana na taarifa kutoka nchi...
Tarehe ya kuwekwa: August 4th, 2019
HALMASHAURI ya Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma imefaulisha kwa asilimia 79 katika mtihani wa Taifa wa shule za msingi uliofanyika mwaka 2018.
Kaimu Afisa Elimu Msingi wa Manispaa ya Songea Gerald ...
Tarehe ya kuwekwa: August 3rd, 2019
UJENZI wa kituo kikuu cha mabasi unafanyika katika eneo lenye ukubwa wa hekari 15 lilipo katika Kata ya Tanga kilomita 12 toka katikati ya Manispaa ya Songea. Ujenzi wa kituo kikuu c...