Tarehe ya kuwekwa: August 22nd, 2019
JUMLA ya watalii 22 kutoka barani Ulaya kwa mara ya kwanza wamefanikiwa kufanya aina mpya ya utalii nchini Tanzania,baada ya kutumia mitumbwi kusafiri katika mto Ruvuma kupitia Hifadhi ya Taifa ...
Tarehe ya kuwekwa: August 19th, 2019
MKUU wa Wilaya ya Songea Pololet Mgema amesema mradi wa kituo cha afya Kata ya Ruvuma Manispaa ya Songea ambao serikali ilitoa shilingi milioni 400, kinatarajia kufunguliwa na mbio za Mwenge wa Uhuru ...
Tarehe ya kuwekwa: August 19th, 2019
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Ruvuma Oddo Mwisho, akiwa ameambatana na Kamati ya Siasa ya Mkoani hapa, ameridhishwa na Utekelezaji wa miradi ya Maendeleo na ushirikishwaj...