Tarehe ya kuwekwa: May 23rd, 2019
TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa TAKUKURU mkoani Ruvuma imemfikisha katika Mahakama ya Wilaya ya Namtumbo Mkuu wa shule ya sekondari Nanungu Mohamed Shafii Ngonyani kwa makosa ya rushwa....
Tarehe ya kuwekwa: May 23rd, 2019
Kimsingi kuna *Makosa Makuu Matano* yaliyotajwa na kukatazwa ndani ya Sheria husika. Sheria hiyo Ndogo inajulikana kama *The Environmental Management (Prohibition of Plastic Carrier Bags) Regulations,...