Tarehe ya kuwekwa: August 3rd, 2019
UJENZI wa kituo kikuu cha mabasi unafanyika katika eneo lenye ukubwa wa hekari 15 lilipo katika Kata ya Tanga kilomita 12 toka katikati ya Manispaa ya Songea. Ujenzi wa kituo kikuu c...
Tarehe ya kuwekwa: August 3rd, 2019
MKURUGENZI Mtendaji Halmashauri wa Wilaya ya Songea mkoani Ruvuma Simon Bunenganija amewasainisha mikataba ya Lishe watendaji wa Kata katika Halmashauri ya Wilaya hiyo katika hafla ambayo imefan...
Tarehe ya kuwekwa: August 3rd, 2019
CHANZO cha mto Ruvuma kinapatikana katika milima ya Matogoro Halmashauri ya Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma.Chanzo hicho kinatengeneza mto maarufu wa Ruvuma ambao unamwaga maji yake Bahari ya Hindi....