Tarehe ya kuwekwa: June 7th, 2019
SHUGHULI muhimu za kiuchumi katika Halmashauri ya Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma ni Kilimo na biashara ambapo Kilimo huchangia asilimia 75 ya pato la Halmashauri. Mazao yanayowapatia wananchi M...
Tarehe ya kuwekwa: June 6th, 2019
CHUO cha Mafunzo ya Uhifadhi wa Maliasili kwa Jamii (CBCTC) kilichopo katika Kijiji cha Likuyu Sekamaganga wilayani Namtumbo mkoani Ruvuma kimefanya mahafali ya mafunzo kwa Askari wanyamapori wa...