Tarehe ya kuwekwa: March 5th, 2019
MRADI wa ujenzi wa kituo cha afya Kata ya Ruvuma Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma ambacho serikali imetoa shilingi milioni 400 unatarajia kukamilika mwanzoni mwa mwezi ujao.
Kituo hicho kikikamilik...
Tarehe ya kuwekwa: March 4th, 2019
Benki ya NMB tawi la Nyasa hivi karibuni limetoa vifaa vya ujenzi vyenye thamani ya tsh milioni tano katika Shule ya msingi Kilosa iliyopo kata ya kilosa na Sekondari ya Monika Mbega katika kata ya Mb...
Tarehe ya kuwekwa: March 4th, 2019
Hawa Hassan(57) mkazi wa mtaa Pachanne,kata ya Mjimwema anasema kabla ya kuanza kupata ruzuku ya shilingi 36,000 kutoka TASAF alikuwa anaishi katika mazingira magumu kwa kuwa mume wake alimuacha...