Tarehe ya kuwekwa: March 27th, 2019
MRADI wa machinjio ya kisasa unaofadhiliwa na Benki ya Dunia kwa gharama ya shilingi zaidi ya bilioni tatu upo mbioni kukamilika na kukabidhiwa katika Halmashauri ya Manispaa ya Songea.
 ...
Tarehe ya kuwekwa: March 26th, 2019
Hifadhi ya Taifa ya Saanane iliyopo jijini Mwanza, ilianzishwa kama bustani ya kwanza ya wanyama nchini mwaka 1964. Lengo la kuanzishwa kwake ilikuwa kuhamasisha uhifadhi na kuelimisha jamii.
...