Tarehe ya kuwekwa: December 2nd, 2023
Siku ya UKIMWI Duniani huadhimishwa kila mwaka ifikapo tarehe 01 Disemba ambapo kwa Manispaa ya Songea maadhimisho hayo yamefanyika katika kata ya Ruvuma Mtaa wa Ruvuma juu katika uwanja wa Black Belt...
Tarehe ya kuwekwa: November 30th, 2023
Kamati ya lishe ya Manispaa ya Songea imeandaa mapendekezo ya awali ya mpango na bajeti wa mwaka 2024/2025 ambao umelenga kutatua changamoto mabalimbali za lishe katika manispaa ya Songea.
Ak...
Tarehe ya kuwekwa: November 29th, 2023
Serikali imekuwa ikichukuwa juhudi mbalimbali katika kuhakikisha inatokomeza ukatili wa kijinsia katika jamii ikiwemo na kutunga sheria na miongozo mbalimbali inayotolewa na Serikali, pamoja na ...